Image and video hosting by TinyPic
Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Slider

Video

Kitaifa

Kimataifa

Makala

Magazeti

KOCHA WA ZAMANI WA YANGA AZIDI KUNG'ARA.

Wanaume wakiwa kazini

Maisha ya Afrika Kusini yanazidi kuwa Bomba kwa kocha wa zamani wa Yanga na timu ya Taifa ya Uganda Milutin Sredojevic maarufu kama Micho baada ya kuiongoza klabu yake ya Orland Pirates kuibuka na ushindi muhimu wa bao 3-1 dhidi ya wapinzani wao wakubwa katika Soka la Afrika Kusini klabu ya Kaizer Chiefs.




Mpaka Mapumziko  timu hizo zilishafungana bao 1-1 Thembinkosi Lorch kutangulia kuipatia Pirates bao la kwanza kabla ya Leonardo Castro hajaisawazishia Chiefs.

Kipindi cha Pili Orlando Pirates walionekana kuimarika zaidi na kufanikiwa kupata mabao mawili yote yakifungwa na Amigo Memela.

Matokeo haya yanaifanya Orlando Pirates kufikisha pointi 39 katika nafasi ya pili wakiwa point 4 nyuma ya Vinara Mamelodi Sundowns wakati Kaizer Chiefs wao wanabaki na pointi zao 35 katika nafasi ya tatu.

MATOKEO YA MECHI MBALI MBALI BARANI ULAYA LEO HII.



Mechi za leo tarehe 03/03/2018 barani ulaya


*🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Premier League*

⚽ Liverpool 2⃣-0⃣ Newcastle 📹

⚽ Tottenham 2⃣-0⃣ Huddersfield 📹

⚽ Burnley 2⃣-1⃣ Everton 📹

⚽ Leicester 1⃣-1⃣ Bournemouth 📹

⚽ Swansea 4⃣-1⃣ West Ham 📹

⚽ Southampton 0⃣-0⃣ Stoke 📹

⚽ Watford 1⃣-0⃣ West Ham 📹

🇪🇸 *LaLiga*

⚽ Villarreal 0⃣-2⃣ Girona 📹

⚽ Sevilla 2⃣-0⃣ Bilbao 📹

⚽ Leganes 2⃣-0⃣ Malaga 📹

⚽ Deportivo La Coruna 1⃣-1⃣ Eibar 📹

⚽ Real Madrid 3️⃣-1️⃣ Gatafe 📹

🇩🇪 *Bundesliga*

⚽ RB Leipzig 1⃣-1⃣ Borussia Dortmund 📹

⚽ Wolfsburg 1⃣-2⃣ Leverkusen 📹

⚽ Schalke 1⃣-0⃣ Hertha Berlin 📹

⚽ Hamburger 0⃣-0⃣ Mainz 📹

⚽ Frankfurt 1⃣-0⃣ Hannover 📹

🇮🇹 *Serie A*

⚽ SPAL 2013 1⃣-0⃣ Bologna 📹 https

⚽ Lazio 0⃣-1⃣ Juventus 📹

⚽ Napoli 2️⃣-4️⃣ Roma 📹

🇫🇷 *Ligue 1*

⚽ Troyes 0⃣-2⃣ PSG 📹

SIMBA YATAJA VIINGILIO MECHI DHIDI YA AL-MASRY.


Klabu ya Simba imeelezea maandalizi yake kuelekea mchezo wa Kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya timu ya Al-Masry utakao pigwa siku ya Jumatano uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam.

Kuelekea katika mchezo huo wa tarehe 7.3.2018, Ofisa habari wa klabu ya Simba, Haji Manara amesema kuwa sasa utapigwa majira ya saa 12:00 jioni badala ya 10:00 jioni ili kuweza kuwapa fursa mashabiki wengi kujitokeza na kuushuhudia mtanange huo.

Klabu ya Simba itacheza mchezo mwingine katika Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al-Masry uliopangwa kuchezwa Jumatano ijayo tarehe 7.3.2018 katika uwanja wa Taifa.

Katika kuwajali na kuthamini mchango wa mashabiki na wapenzi wa Simba pamoja na mchezo wa soka, sasa mchezo huo utapigwa saa 12:00 jioni badala ya 10:00 jioni ili kuweza kuwapa fursa mashabiki wengi zaidi kupata nafasi ya kuja uwanjani na kuipa sapoti timu yao.

Akizungumza na vyombo vya habari Mkuu wa kitengo cha Habari na Mawasiliano Haji Manara alifafanua hili
 "Tumepeleka mbele muda na kuwa saa 12:00 jioni ili kuwapa nafasi mashabiki wetu wengi zaidi kuja uwanjani na kuipa sapoti timu yao kwani sote tunafahamu kuwa Jumatano ni siku ya kazi na wengine wetu watakuwa makazini" 
Kikosi cha Al-Masry kinatarajiwa kutua nchini Kesho ambapo kitafanya mazoezi jioni Jumatatu katika uwanja wa Taifa.

Kuelekea katika mchezo Haji amevitaja viingilio kuwa kwa viti vya Orange na Mzunguko – gharama yake itakuwa ni Tsh 5,000/= VIP B – 15,000/= VIP A – 20,000/=

MANARA AWATULIZA MASHABIKI WA SIMBA.



Afisa Habari wa Klabu ya Simba, Haji Manara amefunguka na kuwataka mashabiki wa wekundu Msimbazi kutoangaishwa wala kuhuzunika na matokeo mabaya waliyoyapata dhidi ya Stand United na kudai hicho sio kigezo cha kupotea katika ligi.
Manara ametoa kauli hiyo leo (Machi 03, 2018) wakati alipokuwa anazungumza na waandishi wa habari makoa makuu ya klabu hiyo eneo la Kariakoo Jijini Dar es Salaam na kusema sare ya mabao waliyoipata katika mchezo wa jana imekuwa ishara tosha ya kuzidi kujiweka sawa katika michezo mingine inayokuja mbele yao.
"Msiangaishwe na matokeo ya mchezo wetu dhidi ya Stand United 'that is football', kuna vitu hutokea kwa sababu ya mipango ya Mungu, kwangu mimi tungeshinda jana (Ijumaa) ingekuwa 'much better' lakini kutoka sare kabla ya kuja kucheza na waarabu imekuwa kama ishara kwetu ya kuwa makini katika mchezo huo", amesema Manara.
Pamoja na hayo, Manara ameendelea kwa kusema "kama tungefunga mabao 5 au 6 mashabiki zetu wangeona mechi na Al Masry kutoka nchini Misri nayo ni rahisi tu. Vitu vingine vinakuja kwa mipango yake mwenyewe Mwenyezi Mungu, kwa hiyo niwaombe mashabiki msiangaishwe wala kuhuzunika sana kuona tumeshapotea katika ligi".
Kwa upande mwingine, Klabu ya Simba inatarajia kucheza mchezo wake wa Kombe la Shirikisho dhidi ya klabu ya Al Masry kutoka nchini Misri siku ya Jumatano (March 7,2018) katika uwanja wa Taifa Jijini Dar es salaam huku viingilio vya mchezo huo vikiwa ni VIP A- Tsh 20,000, VIP B- Tsh 15,000 na mzunguko shilingi 5,000.

MATOKEO YA MECHI MBALI MBALI BARANI ULAYA.


Matokeo ya La Liga na baadhi ya mechi za makombe mengine barani ulaya. 
🇽🇪 *FA Cup*
⚽ Tottenham 6⃣-1⃣ Rochdale 📹
🇪🇸 *La Liga*
⚽ Atletico 4⃣-0⃣ Leganes 📹
⚽ Malaga 0⃣-1⃣ Sevilla 📹
⚽ Getafe 3⃣-0⃣ Deportivo 📹
⚽ Ath Bilbao 1⃣-1⃣ Valencia 📹
⚽ Eibar 1⃣-0⃣ Villareal 📹
🇫🇷 *Coupe de France*
⚽ PSG 3⃣-0⃣ Marseille 📹
🇮🇹 *Coppa Italia*
⚽ Juventus 1⃣-0⃣ Atalanta 📹
⚽ Lazio 0⃣(4)-(5)0⃣ Milan 📹
🇮🇳 *ISL*
⚽ Goa 5⃣ – 1⃣ ATK